Etiquetas » Wasichana

Sirimavo Bandaranaike.

Ni mwanamke wa kwanza kuwa waziri mkuu katika siasa za Dunia hii.

Alizaliwa mwaka 1916/04/17. Huko Ratnapura Sri Lanka.

Alishika wadhifa huo baada ya Kifo Cha Mume wake Bandaranaike aliyekuwa Waziri mkuu kuanzia mwaka 1956 na kuuwawa mwaka 1959. 43 palabras más

MITIHANI KWA SHULE ZA MSINGI.

Ndugu mzazi au mlezi karibu udownload Mitihani mbalimbali kwa ajili ya mtoto wako.

Watoto wa kike wanapewa majukumu mengi Sana yasiyohusu Maisha Yao kitaaluma.

Ni vizuri kuwasaidia watoto Hawa kwa kuwapatia nyenzo za kitaaluma. 66 palabras más

Wasichana

BIBI TITI MOHAMED.

Ni HISTORIA ILIOJEE! mwanamke jasiri, shujaa na mwenye msimamo, moja ya barabara kuu ndani ya jiji la Dar es Salaam, jina lake limo kwa heshima ya mchango wake mkubwa wa kuleta uhuru wa Tanganyika. 459 palabras más

Wasichana

ANGELA HUNTE.

Angela Hunte-Wisner, known by the stage name Angela Hunte, is an American-Trinidadian singer-songwriter, and producer. She is best known for being a contributing writer for  115 palabras más

Wasichana

KIFUATACHO.

Tutakuwa tunaweka hadithi na nukuu za wanawake mbalimbali ili kuweza kuwasaidia mabinti zetu kuwa na Moyo mkuu wa kupambania Maisha Yao.

Zaidi, napenda kuwakumbusha wazazi kuwa Mitihani mbalimbali inapatikana katika mtandao wetu. 26 palabras más

Wasichana

Uimara wa Ujuzi.

Ili kumfanya mtoto wa kike awe na mafanikio ya kudumu Ni vyema kunoa utashi wake kwa gharama yoyote ile.

Katika chapisho Hili leo tumeweka mitihani na nukuu mbalimbali kwa ajili ya kuimarisha taaluma ya binti yako. 45 palabras más

Wasichana

Athari zitokanazo na ukosefu wa kazi maalumu.

Mbali na ukweli kwamba kazi Ni muhimu kwa Maisha ya binadamu yeyote, ukosefu wa kazi husababisha Umasikini wa moja kwa moja kwa mtu yeyote pia. 141 palabras más

Wasichana